Friday, February 8, 2013

SEKU & NAIMA NIGHT'S

 CHICHI HOTEL
 DJ AHMADOU


 Mr & Mrs Seku wakiingia ukumbini...

  UKUMBI : CHICHI HOTEL
                                            MC           : JOHN KILAWE                      
                            the top entertainment team no 1 wakipambana na foleni kuelekea kazini
 

Saturday, January 19, 2013

Masaa machache kabla ya brandy mpya kutoka the top enter & deejays kutambulishwa rasmi endelea kupeluzi blog yetu mara kwa mara...

Friday, January 18, 2013

kingine kipya kutoka TDJS & Entertainment... kinakuja hivi karibuni endelea kutembelea blog yetu kila siku utapata vizuri zaidi imebaki siku moja kutambulisha new brandy...


Kama kawaida UVICA kila jumamosi wanafanya usafi katika mitaa mbalimbali ya sinza wakianzia na mtaa wa California unakaribishwa mtu yoyote kuungana nao...

Monday, January 14, 2013

UVICA ..... MWANAIDI & NAILA WAKISEMA JAMBO KTK MOJA YA WANA UVIC wakiwa wanafanya usafiiiiiii....
 
Dee Jay AHMADOU
kingine kipya kutoka the top dee jays pamoja na the top entertainment kinakuja hivi punde(karibuni) endelea kupitia blog yetu kila siku usipitwe ....
 

Saturday, January 12, 2013

Tdjs ndani ya vijana kinondoni kaa mkao mzuri na wa kula kwa sasa tumefunguka zaidi tunategemea kufunguwa tawijingine makambako ...mda si mrefu

Friday, January 4, 2013

UZINDUZI WA CHAMA CHA VIJANA WA MTAA WA CALFORNIA (UVICA)31 DEC

 STAGE IKIWA IMEFWATA INALETWA



 STAGE IKIWA INAPANGWA AHMADOU AKIWA AAMINI...

 STAGE BARABARANI KUELEKEA KWENYE TUKIO
 VIJANA WAKITAARISHA NYAMA KWA AJILI YA MISHIKAKI
 SHARO MILIONEA AKIWA AAMINI NA MACHO YAKE NINI KINATOKEA
 STAGE IKIWA INATANDIKWA ZULIA NYEKUNDU
 VIJANA WA UVICA WAKIKAGUA STAGE TAYARI KWA SHUGHULI
 MTAALAMU WA KUPAMBA TANZANIA MAMA MUDY AKIWA TAYARIIII YUPO KAZINI KUPAMBA ILI ENEO LA SHUGHULI LIWE KATIKA MUONEKANO TOFAUTI NA SIKU NYINGINE....



 KWA MBALI STAGE IKIWA INAONEKANA KUMALIZIKA KUPABWA TAYARI KWA STREET BASH NA UZINDUZI WA UVICA

 HAKUNAGA & CHIEF B WAKICHOMA MBUZI PAMOJA NA MISHIKAKI UKU MAMA MUDY AKIMALIZIA KUPAMBA STAGE
 MTAA WA CALFORNIA UKIWA NA MUONEKANO TOFAUTI NA SIKU NYINGINE
 STAGE SASA IKIWA IMEKAMILIKA KABISA TAYARIIIIII KWA SHUGHULI KAMILI



 MWENYEKITI WA UVICA TAYARI AKIWA KATIKA ENEO LA SHUGHULI
 WAGENI MBALIMBALI WALIKUWEPO

 MAMA FERAR ALIPEWA JUKUMU LA MC
 UVICA WALIKUWEPO AMBAO NDO WATU WA SHUGHULIIIII

 DEEJAY KIMIMBA KUTOKA The top entertainment AMBAO NDO WALIKUWA WADHAMINI WAKUUUUUUU

 KULIKO DEEJAYs AKIMKALIBISHA MWENYEKITI WA UVICA ILI AWAKARIBISHE WAGENI
MWENYEKITI WA UVICA AKIWAKARIBISHA WAGENI WALIOFIKA KATIKA TUKIO.....

UVICA MAHAKULI YAKIANDALIWA 31 DEC

MWENYEKITI WA UVICA AKIWAJIBIKA & JEMBE LISILO NA MPINI LAKINI LINA TOBO
 HAKUNAGA AKIANDAAAAA NYAMA ZA MISHIKAKI
AZIZA MTAALAMU WA KACHUMBALI AKIWAJIBIKA