Thursday, December 20, 2012

MC Nelson MANDELA

Mtambue MC Nelson Mandela moja ya Ma MC's wakali katika medani ya tanisia hii. Ni mmoja wa majembe yaliyo chini ya Entertainment kubwa ya THE TOP ENTERTAINMENT inayoongozwa na madee Jays wenye uzoefu wa kutosha kutoka THE TOP DEE JAYs.Je ungependa kuwasiliana naye mpigie kwa simu namba 0655 54 55 25 utampata bila usumbufu wowote.

No comments:

Post a Comment