Friday, December 21, 2012

HAPPY BIRTHDAY...

Happy Birthday Mr Alexander Absalom Duma. Mwenyezi mungu wa rehema akuzidishie maisha marefu.Uongozi wa the top entertainment & the top dee jays wanakutakia heri ya maisha mazuri ktk kusheherekea miaka zaidi ya uliyokuwa nayo, na endelea na moyo wako huo huo kuwashauri na kututia moyo wafanyakazi na menejimenti yote kwa uwezo wako.
YEREMIA 33:13

No comments:

Post a Comment