Friday, December 21, 2012

Sherehe ya kuwaaga Wastaafu SKULI YA MENO Prof. B. LEMBARITI na Dr. G. MANDARI




 Keki nzuri iliyopendeza

 The TOP Entertainment team


 Wataalamu wa shampeni Dr MINJA & Dr MSELLE
 Dr SEVERINE aliyekuwa MC akiongoza wafanyakazi wanzake kwa tossing

 Prof. KIKWILU akiongea neno kwa niaba ya wafanyakazi
 Dr G. MANDARI akiongea neno la shukrani
Prof .LEMBARITI akitowa neno la shukrani
Zaidi ya Dee Jays

 Wakikata keki kwa upendo wa hali ya juu

 Wakati wa zawadi

 Wakati wa menu...


Vichwa vitupu hapo Prof & Dr...

No comments:

Post a Comment