Thursday, December 20, 2012

Jembe la kudumu linamakali balaaaaaaa Mjuwe vizuri ni MC Steven JOJO mkali wa wakali toka enzi na enzi JOJO moja ya wadau wakubwa wa familia hii ya the top entertainment ,ni mkali katika dhifa na tafrija mbalimbali za kijamii mgongee kwa simu namba 0713 30 15 72.

No comments:

Post a Comment